Page 74 - Fasihi_Kisw_F5
P. 74
Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari
3. Jadili jinsi utanzu wa semi unavyosaidia kuimarisha tanzu nyingine za
fasihi simulizi.
4. Kwa kutumia mifano, eleza namna fasihi simulizi na fasihi andishi
FOR ONLINE READING ONLY
zinavyochangia kukuza maendeleo ya kijamii.
5. Eleza namna ushairi simulizi ulivyochangia katika kukua kwa ushairi
andishi.
6. Kwa kutumia mifano, eleza namna sayansi na teknolojia inavyokuza
fasihi simulizi na andishi.
7. Jadili maendeleo ya ushairi kwa kuzingatia vipindi mbalimbali.
8. ‘‘Bila fasihi simulizi hakuna fasihi andishiˮ. Jadili kauli.
9. Katika orodha uliyopewa, chagua waandishi wawili wa tanzu tofauti
kisha ueleze mchango wa kila mmoja wao katika maendeleo ya fasihi
ya Kiswahili.
(a) Shaaban Robert
(b) Euphrase Kezilahabi
(c) Mugyabuso Mulokozi
(d) Mohammed Said Abdulla
(e) Eric Shigongo
(f) Gabriel Ruhumbika
(g) Zainabu Mwanga
(h) Penina Muhando
(i) Muhammed Seif Khatib
10. ‘‘Michezo ya watoto haina umuhimu wowote katika makuzi yaoˮ. Jadili
kauli hii kwa kutumia mifano maridhawa.
Kitabu cha Mwanafunzi 63
Kidato cha Tano
23/06/2024 17:54
FASIHI YA KISWAHILI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO.indd 63 23/06/2024 17:54
FASIHI YA KISWAHILI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO.indd 63