Page 106 - Historiayatznamaadili
P. 106
Msamiati
Dau chombo chenye umbo la bapa kilichotengenezwa
kwa mbao au gogo kwa ajili ya usafiri wa baharini
FOR ONLINE READING ONLY
Matete aina ya mimea mirefu inayomea kandokando ya
mito inayotumika kusukia vitu
Mianzi aina ya miti mfano wa muwa yenye uwazi ndani
Miwaa aina ya majani ambayo yakikauka hutumiwa
kusukia ukili
Nyarubanja mfumo uliotumiwa na jamii ya Wahaya kumiliki
ardhi kipindi cha ukabaila
Nyavu kifaa au zana mfano wa nyuzi iliyotumiwa kuvulia
samaki
Teknolojia uwezo, ufundi, vifaa na mbinu za uzalishaji au
utoaji wa huduma
Uhunzi hali ya kufua, kuunda vitu kutokana na chuma
Ukingo wigo au ukuta wa nyumba au mpaka
Vinyago vitu vilivyochongwa mfano wa wanyama au
binadamu kwa kutumia mti
99
06/11/2024 11:30:16
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 99
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 99 06/11/2024 11:30:16