Page 140 - Historiayatznamaadili
P. 140
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 9: Ramani yenye mtawanyiko wa baadhi ya makabila
Kazi ya kufanya namba 11
Chunguza kielelezo namba 9, kisha bainisha yalipo
makabaila yaliyokuwa na tawala za Kitemi, Kifalme,
Mangi, Kirika na Kiukoo.
Mchango wa mamlaka za jadi katika maendeleo ya jamii na
uchumi
Mamlaka za jadi zilikuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo
ya kijamii na kiuchumi kabla ya kuja kwa ukoloni. Mamlaka za
Msamiati jadi zilikuwa na utawala imara wenye nguvu za uongozi na ulinzi
katika jamii husika. Mamlaka hizi zilisimamia shughuli za kisiasa,
Katiba ni sheria na kanuni zinazoainisha jinsi nchi
itakavyoendeshwa 133
Kanuni mwongozo au taratibu zinazotumika kuelekeza
tabia au shughuli za kundi fulani Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 133 06/11/2024 11:30:22
06/11/2024 11:30:22
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 133
Sheria kanuni au taratibu zilizowekwa na mamlaka fulani
kwa ajili ya kuelekeza au kuthibiti tabia za kikundi
au jamii fulani