Page 157 - Historiayatznamaadili
P. 157
Msamiati
Heshima hali ya kupewa sifa au kutambuliwa
FOR ONLINE READING ONLY
kutokana na umri, mamlaka au tabia
inayokubaliwa na jamii au kundi fulani
Jadi muda mrefu au zamani, au kitu ambacho
kimekuwapo kwa muda mrefu. Pia, jadi
inaweza kuwa mazoea
Maadili mwenendo au tabia zilizokubalika na
jamii au kundi fulani ambazo huongoza
utendaji wao
Mamlaka nguvu au uwezo wa kufanya uamuzi au
kusimamia jambo katika eneo fulani
Uadilifu hali ya kuzingatia maadili bila ushawishi
Umoja hali ya kuungana, kushikamana na
kushirikiana
Utu kutenda kadiri ya hadhi yake(ubinadamu)
Uzalendo kitendo cha kupenda, kuthamini na kujitoa
kwa ajili ya nchi yako
150
06/11/2024 11:30:25
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 150
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 150 06/11/2024 11:30:25