Page 159 - Historiayatznamaadili
P. 159
Kazi ya kufanya namba 1
Soma matini mbalimbali, ikiwamo mitandao ya jamii
kuhusu alama za Taifa la Tanzania, kisha ainisha
alama hizo.
FOR ONLINE READING ONLY
.
Alama za Taifa ni pamoja na Bendera ya Taifa, Nembo ya Taifa,
Wimbo wa Taifa, Mwenge wa Uhuru, Mnyama Twiga, Fedha
za Tanzania na Sikukuu za Kitaifa. Alama hizi hutumika katika
taarifa na matukio mbalimbali kutambulisha Tanzania kitaifa na
kimataifa.
Nembo ya Taifa
Nembo ya Taifa, pia hujulikana kama Ngao ya Taifa. Hii ni
mojawapo ya alama kuu ya utambulisho wa Taifa. Kielelezo
namba 1, kinaonesha nembo ya Taifa.
Kielelezo namba 1: Nembo ya Taifa.
152
06/11/2024 11:30:25
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 152 06/11/2024 11:30:25
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 152