Page 28 - Historiayatznamaadili
P. 28
6. Hatua zipi mtoto anapaswa kuchukua iwapo haki zake
zitakiukwa katika jamii na Taifa?
7. Eleza muhimu wa jamii na serikali katika kuhakikisha
FOR ONLINE READING ONLY
haki za mtoto zinalindwa na kutekelezwa kwa ufanisi.
8. Andika hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili kuzuia ukatili
na unyanyasaji wa watoto katika jamii inayomzunguka.
9. Eleza namna mtoto anavyoweza kushiriki kupinga vitendo
vya rushwa katika jamii na Taifa.
Msamiati
Katiba ni sheria na kanuni zinazoainisha jinsi nchi
itakavyoendeshwa
Kanuni mwongozo au taratibu zinazotumika kuelekeza
tabia au shughuli za kundi fulani
Sheria kanuni au taratibu zilizowekwa na mamlaka fulani
kwa ajili ya kuelekeza au kuthibiti tabia za kikundi
au jamii fulani
21
06/11/2024 11:29:35
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 21 06/11/2024 11:29:35
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 21