Page 59 - Historiayatznamaadili
P. 59
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 7: Utengenezaji wa zana za chuma
Kielelezo namba 8, kinaonesha baadhi ya zana za awali zilizotengenezwa
kwa chuma.
Jembe Shoka Mundu
Mkuki
Jembe dogo
Kielelezo namba 8: Baadhi ya zana za awali za chuma
Wahunzi walitengeneza zana kama vile mashoka na mapanga
kwa ajili ya kukatia nyama na kufanyia shughuli za ulinzi. Pia,
yalitumika kukatia miti kwa ajili ya ujenzi na kuandaa shamba.
Zana nyingine ni mikuki na mishale iliyotumika kwa ajili ya
52
06/11/2024 11:29:54
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 52 06/11/2024 11:29:54
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 52