Page 71 - Historiayatznamaadili
P. 71
Kielelezo namba 17, kinaonesha mfano wa chungu kilichochomwa
baada ya kufinyangwa.
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 17: Chungu kilichochomwa baada ya kufinyangwa
Kielelezo namba 18, kinaonesha vyungu vilivyochorwa mapambo
mbalimbali.
Kielelezo namba 18: Vyungu vilivyochorwa mapambo mbalimbali
Sayansi na teknolojia ya asili katika ufinyanzi, ilizisaidia jamii za
kale kuwa na vifaa mbalimbali kwa matumizi ya nyumbani na
biashara. Kwa mfano, vyungu vilitumika kupikia chakula. Pia,
sahani na bakuli zilitumika kulia chakula na mitungi ilitumika
64
06/11/2024 11:30:00
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 64 06/11/2024 11:30:00
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 64