Page 73 - Historiayatznamaadili
P. 73
kisha kusukwa. Mfano, wa vitu vilivyotengenezwa ni nyungo,
matenga, madema, viti na vikapu. Kielelezo namba 20, kinaonesha
sayansi na teknolojia ya ususi kwa kutumia mianzi.
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 20: Sayansi na teknolojia ya ususi kwa kutumia mianzi
Matenga na vikapu vilivyosukwa na mianzi vilitumika kubebea
na kuhifadhia bidhaa mbalimbali. Vilevile, jamii zilifanya ususi
wa vitu mbalimbali kwa kutumia ukili na miwaa. Kielelezo namba
21, kinaonesha picha ya muwaa na bidhaa mbalimbali za ususi.
Picha ya muwaa Bidhaa mbalimbali za ususi
Kielelezo namba 21: Picha ya muwaa na bidhaa mbalimbali za ususi
66
06/11/2024 11:30:03
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 66 06/11/2024 11:30:03
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 66