Page 85 - Historiayatznamaadili
P. 85
Zoezi la jumla
1. Oanisha taarifa za sehemu A na zile za sehemu B, kisha
andika jibu sahihi sehemu ya jibu.
FOR ONLINE READING ONLY
Sehemu A Jibu Sehemu B
(i) Sayansi na (a) Matumizi ya moto,
teknolojia za moshi, jua au mafuta.
asili (b) Uboreshaji wa zana
(ii) Ufinyanzi za kilimo, mifugo na
(iii) Zana za chuma uvuvi.
(iv) Sayansi na (c) Vyungu, mitungi na
teknolojia ya bakuli
asili ya uhifadhi (d) Ukindu, makuti,
vitu matenga na madema
(v) Ususi (e) Matumizi ya maarifa
na ujuzi wa asili na
rasilimali asilia katika
maendeleo.
2. Ni kwa namna gani sayansi na teknolojia za asili katika
kilimo na maadili yake zilisaidia maendeleo ya kilimo na
uhifadhi wa mazingira?
3. Eleza jinsi sayansi na teknolojia za asilia za uchongaji na
ususi zilivyosaidia maendeleo katika shughuli za uvuvi.
4. Eleza namna sayansi na teknolojia za asili za moto na
chumvi zilivyosaidia maendeleo ya uvuvi katika jamii za
kale.
5. Bainisha maadili yaliyozingatiwa katika sayansi na
teknolojia za asili.
6. Je, maadili yalikuwa na mchango gani katika maendeleo
ya sayansi na teknolojia za asili kwa jamii za kale?
7. Bainisha mchango wa sayansi na teknolojia za asili katika
maendeleo ya uchumi kabla ya ukoloni.
78
06/11/2024 11:30:10
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 78 06/11/2024 11:30:10
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 78