Page 97 - Historiayatznamaadili
P. 97
Vilevile, wachongaji walitumia miti kuchonga bidhaa kama
mitumbwi, makasia na ngalawa, vyombo vilivyotumika kwa ajili
ya usafiri katika maji. Bidhaa hizi zinatumika katika jamii zetu
mpaka sasa. Kielelezo namba 6, kinaonesha mfano wa mtumbwi
FOR ONLINE READING ONLY
na makasia.
Kielelezo namba 6: Mtumbwi na makasia
Jamii hizi zilichonga vinyago vya wanyama na ndege. Pia,
walichonga vinyago vyenye umbo la binadamu. Kielelezo namba
7, kinaonesha shughuli za uchongaji.
Kielelezo namba 7: Shughuli za uchongaji wa vitu mbalimbali
90
06/11/2024 11:30:15
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 90 06/11/2024 11:30:15
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 90