Page 35 - Jiografia_Mazingira
P. 35
Kazi ya kufanya namba 5
Chunguza Kielelezo namba 6, kisha bainisha uelekeo
wa Sakina kama ilivyoelekezwa katika jedwali.
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 6: Kubaini uelekeo
Na. Safari za Sakina Uelekeo
(a) Sakina anaenda shuleni
(b) Sakina anaenda maktaba
(c) Sakina anaenda nyumbani
(d) Sakina anaenda sokoni
(e) Sakina anaenda bwawani
(f) Sakina anaenda viwanja vya michezo
28
31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 28
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 28 31/10/2024 19:18