Page 37 - Jiografia_Mazingira
P. 37
(d) husaidia kuimarisha ulinzi na usalama; Pande Kuu za Dunia
husaidia vyombo vya ulinzi na usalama katika kufanya
mawasiliano na kutoa maelekezo wakati wa hatari na dharura.
Kazi ya kufanya namba 6
FOR ONLINE READING ONLY
Ukiwa shuleni au nyumbani, cheza mchezo wa kujificha
na rafiki zako. Kisha, mtafutaji afuate maelekezo ya uelekeo
atakayopewa na kiongozi wa mchezo kuwapata waliojificha.
Zoezi la marudio
Chagua herufi ya jibu sahihi
1. Uelekeo wa upande wako wa kushoto unapotazama upande
wa machweo ni upi?
(a) Magharibi
(b) Kusini
(c) Kaskazini
(d) Mashariki
2. Kifupi cha uelekeo wa Kusini-Mashariki ni ___________.
(a) Kus-Magh
(b) Mas-kus
(c) Kus-Mas
(d) Kus-Kas
3. Ukisafiri kuelekea jua linakozama, unaelekea upande gani
wa dunia?
(a) Kaskazini
(b) Kusini
(c) Mashariki
(d) Magharibi
4. Uelekeo gani upo mkabala na machweo ya jua?
(a) Kaskazini
30
31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 30
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 30 31/10/2024 19:18