Page 42 - Jiografia_Mazingira
P. 42
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba.1: Alama za ramani
Zoezi la kwanza
1. Chunguza ramani ya Shule ya Msingi Mbuga kisha bainisha
vitu vilivyowasilishwa kwa alama zilizotumika katika ramani
kama zinavyoonekana katika ufunguo wa ramani
35
31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 35
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 35 31/10/2024 19:18