Page 43 - Jiografia_Mazingira
P. 43
Ramani Sahili ya Shule ya Msingi Mbuga
Madarasa
FOR ONLINE READING ONLY
Bustani Madarasa
Oϐisi Vyoo
Madarasa
Maktaba
Ufunguo
Kielelezo namba 2: Shule ya msingi Mbuga
GSPublisherVersion 0.3.100.100
2. Eleza faida za kuwepo kwa alama za ramani.
3. Ni alama gani hazijaoneshwa kwenye ufunguo? Chora alama
hizo kwenye daftari lako.
Kazi ya kufanya namba 2
Tembelea maktaba, chukua atlasi kisha chagua ramani
yoyote unayoipenda na ubaini alama mbalimbali za ramani
zilizotumika, kisha uzichore kwenye daftari lako.
36
31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 36 31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 36