Page 38 - Jiografia_Mazingira
P. 38
(b) Kusini
(c) Mashariki
(d) Magharibi
5. Kwa kawaida mshale wa dira huonesha upande gani wa dunia?
FOR ONLINE READING ONLY
(a) Kaskazini
(b) Kusini
(c) Mashariki
(d) Magharib
Maswali ya majibu mafupi
6. Unafikiri kwa nini ni muhimu kuwa na uelewa kuhusu Pande
Kuu za Dunia?
7. Uelekeo upi upo kati ya Kaskazini na Mashariki?
8. Chunguza Kielelezo namba 7, kisha jibu maswali yanayofuata;
Kielelezo namba 7: Eneo la mapumziko na michezo
31
31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 31
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 31 31/10/2024 19:18