Page 39 - Jiografia_Mazingira
P. 39
(a) Shamba la miti linapatikana upande gani kutokea sehemu
ya mapumziko?
(b) Uwanja wa mpira wa miguu unapatikana upande gani
kutokea sehemu ya mapumziko?
FOR ONLINE READING ONLY
(c) Baini upande ulipo mgahawa ukitokea sehemu ya mapumziko.
(d) Kutokea uwanja wa mpira wa miguu utaelekea upande
gani ili kufika katika bwawa la kuogelea?
Msamiati
Ni kitu kisicho cha Kidigital kwa muundo na ufanyaji
Analojia
kazi wake
Kifaa kinachofanana na saa ambacho kina mshale
Dira
unaozunguka kuonesha uelekeo wa Kaskazini
Kitu chochote kinachotumia au kufanya kazi na kompyuta
Kidijitali
au vifaa vya kielektroniki kufanya kazi
Machweo Wakati wa jioni jua linapozama
Mawio Wakati wa asubuhi jua linapochomoza
32
31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 32
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 32 31/10/2024 19:18