Page 48 - Jiografia_Mazingira
P. 48
Kuchora ramani ya kata
Kata ni eneo la kiutawala linalojumuisha vijiji au mitaa kadhaa.
Uchoraji wa ramani ya kata unahusisha kuonesha mipaka ya kata
pamoja na taarifa mbalimbali za kijiografia katika eneo la kata husika.
Mfano wa taarifa hizo ni hospitali, shule, kanisa, msikiti, barabara,
FOR ONLINE READING ONLY
pamoja na mito inayopatikana katika kata.
Kazi ya kufanya namba 5
Chunguza Kielelezo namba 5 kisha jibu maswali yanayofuata:
Kielelezo namba 5: Kata ya Sinza
41
31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 41
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 41 31/10/2024 19:18