Page 49 - Jiografia_Mazingira
P. 49

Maswali


              1.  Bainisha vitu vinavyoonekana katika ramani ya Kata ya Sinza.
              2.  Bainisha vipengele muhimu vya ramani vilivyozingatiwa
                  katika ramani hiyo.
        FOR ONLINE READING ONLY
              3.  Chora ramani ya Kata ya Sinza, kisha onesha vitu vifuatavyo:
                    (a) Barabara iliyopo Kusini Magharibi mwa ramani;
                    (b) Msikiti uliopo Kusini mwa ramani;

                    (c) Kata iliyopo Kaskazini mwa ramani;
                    (d) Mto uliopo Kusini mwa ramani;

                    (e) Hospitali iliyopo kusini Magharibi mwa Kijitonyama; na
                    (f) Ofisi iliyopo Kusini mwa Barabara ya Mlandizi.


          Kuchora ramani ya wilaya
          Wilaya ni mgawanyiko wa kiutawala wa eneo fulani ndani ya nchi.
          Wilaya hujumuisha kata au tarafa kadhaa. Kila wilaya inaongozwa

          na mkuu wa wilaya ambaye huteuliwa na rais.

                     Kazi ya kufanya namba 6
                         Chunguza Kielelezo namba 6 kisha jibu maswali yanayofuata:
































                                Kielelezo namba 6: Mkoa wa Dodoma



                                                 42



                                                                                          31/10/2024   19:18
   JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd   42                                           31/10/2024   19:18
   JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd   42
   44   45   46   47   48   49   50   51   52   53   54