Page 57 - Jiografia_Mazingira
P. 57
11. Chagua ukubwa wa karatasi (3), uelekeo wa karatasi (4) na
muundo wa kuchapa kati ya PDF au picha (5), Kisha bofya “Print”
(6) kuhifadhi ramani kama PDF au picha, kama inavyoonekana
katika Kielelezo namba 15 na Kielelezo namba 16.
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 16: Ramani ya hifadhi ya Swaga Swaga
Kazi ya kufanya namba 9
1. Chagua eneo lolote ndani ya mkoa unaoishi au mbuga
maarufu nchini Tanzania, kisha ichore kidijitali.
2. Eleza mambo uliyozingatia wakati wa uchoraji wa ramani
yako.
3. Ni vipengele gani muhimu katika ramani havipo kwenye
ramani yako ya kidijitali?
Zoezi la nne
1. Ni programu gani zinatumika katika uchoraji wa ramani za
kidijitali?
2. Taja mahitaji muhimu katika uchoraji wa ramani za kidijitali
3. Ni kwa namna gani unaweza kuchapisha ramani uliyoichora
kidijitali?
50
31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 50 31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 50