Page 17 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 17
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 2: Mwigizaji akifanya mazoezi ya
utoaji sauti
Kazi ya kufanya namba 7
Fanya mazoezi ya utoaji wa sauti kwa kufuata hatua zifuatazo:
(a) Simama mahali ambapo kuna umbali kati yako na sehemu
unayolenga kufikisha ujumbe;
(b) Ongea kwa sauti ya chini; kisha
(c) Ongeza sauti taratibu ukilenga kufikisha ujumbe kwa eneo
la mbali zaidi bila kupaza sauti kupita kiasi.
10
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 10
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 10 19/10/2024 16:35