Page 18 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 18
Zoezi la tatu
1. Kwa nini ni muhimu kuwa na sauti inayosikika vizuri wakati
wa kuigiza?
2. Eleza namna ya kutumia sauti kuonesha hisia endapo
FOR ONLINE READING ONLY
unacheza uhusika wa mtu mwenye hasira kwenye mchezo
wa kuigiza.
Msamiati
Maleba Mavazi ya wasanii wakiwa kwenye onyesho
Mkao Namna mtu anavyoweka mwili wake wakati
amesimama, amekaa au anatembea
TEHAMA Teknolojia ya habari na mawasiliano
Lugha ya vitendo Kuwasiliana kwa kutumia viungo vya mwili bila
sauti
Kichapuzi mafuta Kifaa kinachoongeza mafuta au kasi ya gari
11
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 11
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 11 19/10/2024 16:35