Page 103 - SayansiStd4
P. 103
6. Nini kingetokea kama kusingekuwa na nishati ya mwanga?
Matokeo
Kivuli ambacho ni sehemu yenye giza kinaonekana upande wa
FOR ONLINE READING ONLY
pili wa mpira ukutani.
Hitimisho
Umbo la kivuli kushabihiana na kitu kilichozuia mwanga
kupenya. Hii inaonesha kuwa, mwanga husafiri katika mstari
mnyoofu.
Chunguza Kielelezo namba 10, kisha jibu maswali yanayofuata.
Kielelezo namba 10: Kutokea kwa vivuli
Maswali
1. Je unaona nini kuhusu umbo la kivuli kutokana na Kielelezo
namba 10?
2. Je, kivuli kinaweza kuwa na rangi? Toa sababu kwa jibu
lako.
96
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 96 14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 96