Page 108 - SayansiStd4
P. 108
kinanda, tarumbeta na kengele.
Pia, watu wanapoongea au (b)
kuku anapoita vifaranga vyake,
ndege inapopaa na baadhi
ya wanyama wanapopiga
FOR ONLINE READING ONLY
kelele kinachotokea ni sauti.
Sauti husaidia mawasiliano
kufanyika. Kielelezo namba 13
kinaonesha vitendo vya kutoa
sauti.
(a) (c)
Kielelezo namba 13: Vitendo vya kutoa sauti
Kazi ya kufanya namba 6
Kutambua namna sauti inavyosafiri katika hewa
Chunguza kinachotokea kengele inapogongwa shuleni.
1. Je, kengele inapogongwa sauti inatokea wapi?
2. Je, wanafunzi wanapokusanyika wanatoka upande gani?
3. Je, mawimbi ya sauti yanaelekea upande gani?
4. Umegundua nini kuhusu sauti inavyosafiri katika hewa?
5. Nini umuhimu wa nishati ya sauti katika maisha ya kila
siku?
101
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 101 14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 101