Page 16 - SayansiStd4
P. 16
Vyakula
Vyakula vya vya kujenga
kuupa mwili mwili
FOR ONLINE READING ONLY
nguvu
Vyakula vya
kulinda mwili
Kielelezo namba 9: Mlo kamili wa mtu anayefanya kazi za kutumia
nguvu nyingi
Kazi ya kufanya namba 4
1. Tumia maktaba, matini mtandao au vyanzo vingine
vya taarifa kutafuta taarifa kuhusu mlo kamili kwa watu
wanaofanya kazi za kutumia nguvu nyingi.
2. Pangilia mlo kamili wa asubuhi, mchana na jioni kwa mtu
anayefanya kazi za kutumia nguvu nyingi.
Wagonjwa
Mlo kamili kwa mgonjwa ni muhimu ili kuimarisha kinga
ya mwili inayoweza kupambana na maradhi. Mlo huu pia,
humsaidia mgonjwa kupata nguvu na virutubisho muhimu.
Wagonjwa wanapaswa kupewa kiasi kikubwa cha vyakula vya
kujenga na kulinda mwili. Vyakula hivyo husaidia kurejesha seli
zilizoharibika kutokana na mashambulizi ya magonjwa. Pia,
9
14/01/2025 18:38
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 9 14/01/2025 18:38
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 9