Page 51 - SayansiStd4
P. 51
saba kubadilika hadi kuwa buu. Buu hahitaji chakula na huweza
kuchukua angalau siku sita kuwa mdudu kamili. Kielelezo
namba 6 kinaonesha hatua za ukuaji wa nzi.
FOR ONLINE READING ONLY
Lava
Mayai
Nzi Buu
Kielelezo namba 6: Hatua za ukuaji wa nzi
Kazi ya kufanya namba 3
Kuchunguza hatua za ukuaji wa nzi
Mahitaji: Lenzi ya mkononi, kipande cha nyama mbichi,
karatasi ya plastiki, pini na sahani
Hatua
1. Weka kipande cha nyama kwenye sahani.
2. Weka sahani yenye kipande cha nyama mahali pa wazi
ili nzi waweze kutua.
3. Tumia lenzi ya mkononi kuchunguza kipande cha
nyama kwenye sahani ili kubaini viumbehai vilivyopo.
Je, umeona nini?
44
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 44 14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 44