Page 53 - SayansiStd4
P. 53

Hatua

               1.  Chota maji kutoka kwenye dimbwi lililotuamisha maji

                     kwa muda mrefu. Hakikisha maji hayo yana mayai au
                     lava wa mbu.
          FOR ONLINE READING ONLY

               2.  Chukua baadhi ya mayai au lava wa mbu kutoka kwenye
                     hayo maji na weka kwenye chupa au kifuu cha nazi.

               3.  Baada ya siku mbili, tumia lenzi ya mkononi kuchunguza

                     maji ili kubaini mabadiliko ya mayai kuwa lava.

               4.  Funika chupa au kifuu cha nazi chenye maji yenye lava

                     kwa kutumia wavu wenye matundu madogo. Hakikisha
                     umefunga vizuri chupa au kifuu cha nazi.

                Maswali


               1.  Je, umeona nini wakati wa uchunguzi?

               2.  Chora  mchoro wa hatua za ukuaji wa mbu.






              Hatua za ukuaji wa mende




                Kazi ya kufanya namba 5



               Chunguza  katika mazingira  hatua za ukuaji  wa mende.
               Wasilisha  taarifa za uchunguzi  kwa wenzako  kwa ajili
               majadiliano.















                                                   46



                                                                                            14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   46
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   46                                   14/01/2025   18:39
   48   49   50   51   52   53   54   55   56   57   58