Page 55 - SayansiStd4
P. 55

Na.      Sehemu A              Sehemu B

                                                 (i)  Husababisha                vipele
                   (a)    Malaria                     ambavyo hubadilika  kuwa
          FOR ONLINE READING ONLY
                                                      malengelenge

                                                 (ii)  Kukohoa kwa muda wa wiki
                   (b)    Tetekuwanga
                                                      mbili au zaidi

                   (c)    Pumu                   (iii)  Kukojoa mara kwa mara


                                                 (iv)  Kuharisha       na     kutapika
                   (d)    Kifua kikuu
                                                      mfululizo

                                                 (v)  Kutoa sauti kama filimbi au
                   (e)    Kisukari
                                                      mluzi wakati wa kupumua

                                                 (vi)  Joto kali la mwili na
                   (f)    Kipindupindu
                                                      maumivu ya viungo

               Sehemu B

               2.  Tofautisha magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya
                     kuambukiza.


               3.  Je, magonjwa ya kuambukiza huenea kwa njia zipi?

               4.  Eleza maana ya metamofosisi.


               5.  Taja mfano  mmoja  wa wadudu wanaopitia hatua
                     zifuatazo za ukuaji:


                     (a)  Metamofosisi kamili; na

                     (b)  Metamofosisi pungufu.


               6.  Orodhesha hatua za ukuaji wa mdudu katika:

                     (a)  Metamofosisi kamili; na


                     (b)  Metamofosisi pungufu.



                                                   48



                                                                                            14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   48                                   14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   48
   50   51   52   53   54   55   56   57   58   59   60