Page 49 - Historia_Maadili
P. 49
Zoezi la marudio
1. Eleza dhana ya “maadili” katika utamaduni wa Mtanzania.
2. Jadili nafasi ya vijana katika kukuza maadili kwa jamii ya Kitanzania.
FOR ONLINE READING ONLY
3. Eleza jinsi sera za kikoloni zilivyochangia katika mabadiliko ya maadili
ya jamii za Kitanzania.
4. Eleza athari za dini za kigeni katika mila na desturi za jamii za Kitanzania.
5. Nini athari za mfumo wa elimu ya kikoloni katika maadili ya Kitanzania.
6. Eleza matokeo ya muda mrefu ya ukoloni kwa maadili ya jamii ya
Kitanzania.
7. Fafanua mbinu mbalimbali zilizotumiwa na jamii za Kitanzania kupinga
mifumo iliyokuwa inaathiri maadili yao wakati wa ukoloni.
41
03/10/2024 18:15:11
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI F2.indd 41
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI F2.indd 41 03/10/2024 18:15:11

