Page 96 - Historia_Maadili
P. 96
Zoezi la marudio
1. Eleza jinsi tabaka jipya la mabepari uchwara lilivyoathiri umoja na maadili
ya kitaifa baada ya uhuru.
FOR ONLINE READING ONLY
2. Fafanua mikakati iliyochukuliwa na serikali baada ya uasi wa jeshi wa
Januari 1964 ili kuimarisha usalama wa taifa.
3. Fafanua umuhimu wa sera na mifumo ya kisiasa iliyoanzishwa mara baada
uhuru katika maendeleo ya kiuchumi na kisiasa kwa Tanzania ya sasa.
4. Eleza faida za Tanganyika kuwa Jamhuri.
5. Ni kwa jinsi gani ngoma na nyimbo za jadi zinaweza kutumika katika
kujenga maadili na umoja wa kitaifa wakati wa sasa?
6. Ni maadili gani yalijengwa na kukuzwa wakati wa ujenzi wa taifa, 1961
hadi 1966?
7. Ni njia gani bora zinazoweza kutumika kujenga na kuimarisha umoja wa
kitaifa wakati wa sasa?
8. Pendekeza mikakati ya kuendelea na ujenzi wa taifa la Tanzania wakati wa
sasa.
88
03/10/2024 18:15:19
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI F2.indd 88
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI F2.indd 88 03/10/2024 18:15:19

